1378; Maisha Unayoishi Sasa Ni Unabii Uliotimia…

By | October 9, 2018
Wapo watu ambao wamekuwa wanahangaika kutafuta watu wa kuwatabiria au kuwanenea unabii kuhusu maisha yao. Lakini watu hao hawapaswi kwenda mbali ili kumpata nabii anayeweza kuwatabiria kwa usahihi wa asilimia 100. Maisha ambayo unayaishi sasa, ni unabii ambao umetimia. Maisha uliyonayo sasa, hayajatokea kama ajali, badala yake yametengenezwa, kidogo kidogo,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz