MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1692; Kitu Cha Kufanya Au Kusema Unapokuwa Njia Panda…
Rafiki, je umewahi kujikuta njia panda, ambapo unakuwa hujui useme nini au ufanye nini? Hii ni hali ambayo huwa inatukuta mara nyingi kwenye kazi zetu na hata maisha yetu pia. Tunakwama kuchukua hatua kwa sababu hatujui kipi tufanye. Au tunashindwa kutoa majibu kwa sababu hatujui nini tuseme. Sasa unajua wazi