MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1693; Namba Hazidanganyi…
Kabla hujafikia maamuzi yoyote muhimu kwenye maisha yako, ni vyema ufanye utafiti mdogo na kuangalia namba zinasemaje. Kwa sababu maneno yanaweza kudanganya sana, lakini namba huwa hazidanganyi, kamwe. Mtu anakushauri ukiingia kwenye kilimo cha matikiti utapata faida sana, ukiweka milioni mbili utapata milioni kumi. Mjibu vizuri, hebu nioneshe hizo namba