MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; NJE NA NDANI…
“Inwardly, we ought to be different in every respect, but our outward dress should blend in with the crowd.” —SENECA, MORAL LETTERS, 5.2 Hongera sana mwanamafanikio kwa siku hii mpya na bora sana tuliyoiona leo. Ni siku bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata