MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1694; Tukuza Kile Unachofanya…
Hatufanyi kazi iliyo bora kabisa kwa sababu hatuweki akili yetu na umakini wetu wote kwenye kile tunachofanya. Hatumalizi kazi tulizonazo kwa wakati kwa sababu tunaruhusu usumbufu wa kila aina kuingilia kazi zetu. Dawa ya kuondokana na hali hizo ni kutukuza kile unachofanya. Na hapa nina maana rahisi sana, wala usije