MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1695; Gusa Hisia…
Watu huwa wanafanya maamuzi kwa hisia na siyo kwa kufikiri. Hivyo kama kuna kitu unataka watu wafanye, basi gusa hisia zao kama unataka kuwashawishi wafanye. Usitoe tu maelezo makavu ambayo yanaelezea kitu, bali toa maelezo yenye hisia ndani yake, ambayo yatamsukuma mtu kuchukua hatua sasa. Hisia zenye ushawishi mkubwa kwa