MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1696; Utafika Utakapofika…
Kuna mambo mengi tumekuwa tunafanya kwenye maisha yetu, ambayo siyo tu hayana manufaa, lakini pia yanapoteza muda wetu kwa kuvuruga utulivu wa ndani yetu. Mfano kuna mahali unakwenda, na unataka sana kuwahi, lakini njiani ukakutana na foleni ambayo ni ndefu na inakwenda taratibu sana. Hapo unaanza kupatwa na mawazo mengi,