MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1777; Inafaa Kwao, Lakini Siyo Kwangu…
Kama unataka kufanikiwa, unapaswa kuwa mnyenyekevu na msikivu, na kisha kuwa tayari kujifunza kutoka kwa wengine na kuchukua hatua kwenye maisha yako. Kama kuna kitu chochote ambacho wengine wameweza kufanya, hata wewe unaweza kukifanya kama utakuwa na maarifa sahihi na kuweka juhudi za kutosha. Lakini watu wengi wamekuwa wanajizuia kujifunza