MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1778; Majuto Na Makosa…
Karibu kila mtu anajua nini anachotaka kwenye maisha yake. Na katika hao, wengi wanajua nini wanapaswa kufanya ili wapate kile wanachotaka. Lakini inapofika wakati wa kuchukua hatua, wengi huwa hawachukui hatua, kwa kuhofia kushindwa. Na hili linawaweka watu kwenye hali mbili, majuto au makosa. Majuto yanakuja pale ambapo mtu hajafanya