MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1779; Chagua Moja Na Weka Kazi…
Kuna wakati watu huwa wanakwama kupiga hatua, siyo kwa sababu hawana cha kufanya, ila wana vitu vingi wanavyoweza kufanya na hawajui kipi waanze nacho. Kila wanapolinganisha vitu wanavyoweza kufanya, wanaona vyote vina umuhimu. Wakiangalia kimoja, wanagundua kingine nacho ni bora zaidi, na kingine tena. Kinachotokea ni unakuta mtu ana vitu