MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1782; Kutumia Na Kutumiwa…
Watu waliofanikiwa wanatumia vitu, watu walioshindwa wanatumiwa na vitu. Ni tofauti moja ndogo sana lakini yenye madhara makubwa kwenye maisha ya mtu. Watu waliofanikiwa wanatumia fedha kufanya yale muhimu na hivyo kuweza kufanikiwa zaidi na kutengeneza maana kwenye maisha yao. Wakati wale walioshindwa wanatumiwa na fedha, wakiwa nazo wanajikuta wanafanya