MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUHUSU KUKUMBUKWA…
“Everything lasts for a day, the one who remembers and the remembered.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 4.35 Ni siku nyingine mpya, siku bora na ya kipekee sana kwetu. Tumeipata nafasi hii nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kupata matokeo bora sana. Msingi wetu ni NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA, Mwongozo wetu