MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA USIKI; USIISHI KAMA MNYAMA…
“The life of a person without faith is the life of an animal.” – Leo Tolstoy Tofauti yetu sisi binadamu na mbuzi ni uwezo wetu wakufikiri na kufanya maamuzi kulingana na hali tunayopitia. Wanyama wengine wanaendeshwa na mazingira na miili yao, lakini sisi binadamu tunaweza kudhibiti mazingira na miili yetu