MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; TEKELEZA KUSUDI LAKO…
“We have to fulfill honestly and irreproachably the work destined for us. It does not matter whether we hope that we will become angels some day, or believe that we have originated from slugs.” —JOHN RUSKIN Asubuhi njema mwanamafanikio. Kitu kimoja unachopaswa kujua ni kwamba, haupo hapa duniani kwa bahati