MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1835; Pesa Zipo Kwenye Hisia…
Dunia inaendesha na kitu kimoja, hisia. Na hii ni kwa sababu sisi binadamu huwa tunafanya maamuzi yetu yote kwa hisia kwanza na kisha kuyahalalisha kwa fikra. Watu huwa wanatumia fedha zao kwenye vitu ambavyo vinawafanya wajisikie vizuri. Na kule ambapo fedha inapoenda, ndipo nguvu na mamlaka yalipo. Sasa kwa kuwa