MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1836; Tengeneza, Tunza, Kuza.
Hizi ni hatua tatu ambazo ni muhimu sana kuzifanyia kazi kwenye kila eneo la maisha yetu. Tukianza na maisha yetu wenyewe, tunapaswa kuyatengeneza, kuyatunza na kisha kuyakuza zaidi. Kwenye fedha, tunapaswa kutengeneza kipato, kukitunza na kisha kukikuza zaidi. Kwenye mahusiano, tunapaswa kuyatengeneza, kuyatunza na kisha kuyakuza zaidi. Watu wengi wanashindwa