MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA USIKU; HUNA WA KUMLAUMU…
“When an arrow does not hit its target, the marksman blames himself, not another person. A wise man behaves in the same way.” —CONFUCIUS Mshale unapokwenda nje ya lengo, mlengaji hana wa kumlaumu isipokuwa yeye mwenyewe. Hivyo ndivyo wenye hekima wanavyoyaendesha maisha yao, Wanajua chochote kinachotokea kwenye maisha yao, hawana