MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1838; Rahisi, Haraka, Bora.
Kuna njia tatu za kuwa na kufanya chochote unachofanya kwenye maisha yako, kuanzia kwenye kazi na biashara mpaka kwenye mahusiano. Unaweza kuwa au kufanya kitu cha bei rahisi, hapa unatoa kilicho bei rahisi na wewe mwenyewe unakuwa wa bei rahisi na hivyo watu hawakupi thamani kubwa. Unaweza kuwa mtu wa