MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1840; Anza Upya…
Kinachofanya maisha yetu yawe magumu, kinachotufanya tuwe na msongo ni kwa sababu tunafanya leo yale ambayo tulifanya jana. Kwa kifupi tunafanya kila kitu kwa mazoea na siyo kwa sababu ni muhimu kufanya. Hata mahusiano uliyonayo na wengine, majukumu unayokubali kutoka kwa wengine, kazi na biashara unayofanya na mengine mengi, yote