MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA USIKU; UPENDO NI MATOKEO.
“Love is not a source, it is a consequence of our understanding the divine, spiritual beginning which exists in all of us.” – Leo Tolstoy Upendo siyo chanzo, bali ni matokeo ya kuelewa imani na uungu uliopo ndani ya kila mmoja wetu. Ndiyo maana upendo wa kweli haubagui wala hauna