MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1841; Usipingane Na Usichokitaka…
Kama kuna kitu ambacho hukitaki kwenye maisha yako, kupingana nacho ni njia ya uhakika ya kuendelea kuwa nacho. Hii ni kwa sababu unapopingana na kitu unakipa nguvu na hivyo kinakua zaidi. Na hili liko wazi, fikiria kwenye maisha yako mwenyewe, huenda kuna kitu watu walikuwa wanakutania nacho, iwe ni jina