MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1844; Uwekezaji Ulioufanya Kwenye Mafanikio Yako…
Huwezi kwenda kwenye shamba, ukapanda mbegu halafu ukaondoka na kusubiri kuja kuvuna. Asili haifanyi kazi hivyo, ni lazima ufanye uwekezaji mkubwa kwenye shamba hilo kama unataka kupata mazao mengi na mazuri. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye mafanikio yako, huwezi kusema unataka kufanikiwa, ukajiwekea maono na malengo yako ya mafanikio halafu