MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1845; Ukishaamua, Ukishaahidi…
Kinachofuata ni kutekeleza, kama ulivyoamua na kama ulivyoahidi. Usianze kutafuta sababu za kwa nini huwezi kufanya ulichoamua au kwa nini huwezi kutekeleza ulichoahidi. Ni wewe mwenyewe uliyefanya maamuzi hayo, ni wewe mwenyewe uliyeahidi, jiheshimu na tekeleza. Zama tunazoishi sasa ni za watu laini, watu ambao wanafanya maamuzi lakini hawayatekelezi, wanaahidi