MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA USIKU; SIYO WEWE UNAYEAMUA KESHO YAKO…
“People do not decide their futures, they decide their habits and their habits decide their futures.” – F.M. Alexander Huwa tunajiambia na kuamini kwamba sisi ndiyo waamuzi wa kesho yetu. Lakini huo siyo uhalisia, siyo sisi ambao tunaamua kesho yetu, bali ni tabia zetu ndiyo zinaamua kesho hiyo. Ukijijengea tabia