MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1848; Hamasa Ya Nje Na Ndani…
Njiti ndogo ya kiberiti inawasha moto mkubwa ambao unaweza kupika au kuunguza kitu kikubwa. Je unafikiri kilichopika au kuunguza ni njiti ile ya kibiriti? Najua unajua siyo. Kama ingekuwa hivyo, tungetegemea njiti hiyo ya kiberiti iweze kuunguza maji ukiyawasha, au kuunguza mchanga ukiuwasha kama unayowasha kuni au mafuta. Sababu inayopelekea