MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1849; Nidhamu Inaanzia Kwenye Fikra…
Wale wanaotaka kukutawala, kukuhadaa, kukushawishi au kukutapeli, wanajua sehemu sahihi ya kushika. Sehemu hiyo ni fikra zako. Mtu yeyote akishaweza kuzishika fikra zako na ukakubaliana naye, basi utakubali kila anachokuambua, hata kama siyo sahihi kwako. Fikra zetu zina nguvu kubwa sana kwenye maisha yetu. Na kama wanafalsafa wengi walivyowahi kusema,