MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA USIKU; AKILI NI KUSAKA HEKIMA…
A wise man seeks wisdom; a madman thinks that he has found it. —PERSIAN PROVERB Werevu hutafuta hekima mara zote, Lakini wapumbavu huamini tayari wanajua kila kitu. Kuna vitu vingi sana vya kujua, hivyo mwerevu anajua hawezi kujua vyote. Hilo linamfanya awe mnyenyekevu na tayari kujifunza wakati wote na kutoka