MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1851; Tafuta Ukweli, Usijali Umetoka Kwa Nani…
Zig Zigler kwenye moja ya mafundisho yake amewahi kutoa mfano huu; iwapo adui yako mkubwa ataweka asali kwenye kikombe chako cha chai, je nini kitatolea kwako? Na je vipi kama rafiki yako mkubwa, kwa bahati mbaya akaweka sumu kwenye kikombe chako cha chai, nini kitatokea? Kwa adui aliyeweka asali kwenye