MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1852; Kuwa Sahihi Kwenye Kisababishi Na Matokeo…
Watu wengi hawajui msingi wa kisababishi na matokeo kwenye mafanikio. Hivyo wamekuwa wanaweka juhudi zao kwenye visababishi tofauti na huku wakitegemea matokeo tofauti. Mfano mtu anataka kufanikiwa, lakini anafikiri kitakachomfanya afanikiwe ni kuwasoma wale waliofanikiwa, au kuisoma misingi ya mafanikio. Hivyo kila mara analipa hilo kipaumbele. Lakini kuwajua waliofanikiwa au