MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA USIKU; HEKIMA INAWEZA KUONESHWA POPOTE…
“There is nothing in which real wisdom cannot be displayed.” – Leo Tolstoy Hakuna chochote kinachoweza kuzuia hekima isionekane. Hekima ya kweli inaonekana na inaweza kutumika kwenye kila hali. Jijengee hekima ya kweli na itakuwezesha kuvuka kwenye hali mbalimbali. Unazikumbuka njia tatu za kupata hekima? Zitafakari kabla hujalala na jipange