MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1856; Kama Maisha Ni Mafupi…
Basi ongeza kasi yako kwenye kuyaishi maisha yako. Lakini kuongeza kasi ya maisha kabla hujajua nini unataka kwenye maisha yako ni hatari, ni sawa na kuongeza mwendo huku ukiwa hujui wapi unakwenda, unazidi kujipoteza. Unaongeza kasi ya maisha kwa kuyanya yale ambayo unataka kufanya, kwa kuanza sasa na siyo kusubiri.