MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1860; Ni Mpaka Wewe Uwape Ruhusa…
Hakuna mtu yeyote anayeweza kufanya chochote kwako mpaka wewe utakapompa ruhusa ya kufanya hivyo. Hakuna anayeweza kukuumiza wewe, mpaka wewe umpe ruhusa kwa kuchagua kuumia. Mtu anaweza kufanya atakacho, kwa lengo la kukuumiza, lakini hawezi kukuumiza kama wewe hujampa ruhusa. Unapokubali kuumia, unakuwa umempa mtu ruhusa ya kukuumiza. Hata wale