MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1861; Waonee Huruma…
Kuna watu ambao wanajaribu kufanya mambo mabaya kwako na unaweza kuwaona ni watu wabaya na wakatili sana. Lakini watu hao unapaswa kuwaonea huruma kuliko unavyowaona wabaya. Mtu yeyote anayetaka kukuumiza, jua ya kwamba na yeye anaumizwa. Mtu yeyote anayetaka kukutesa, jua kwamba pale alipo naye anateseka. Mtu ambaye anataka kuyavuruga