MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1862; Kama Umeshangazwa, Hujafanya Kazi Yako…
Kama umeshangazwa na chochote kilichotokea kwenye maisha yako, kwa kujiambia kwamba hukutegemea kitokee, basi jua tatizo ni lako, hujafanya kazi yako sawasawa, hujawa na maandalizi ya kutosha. Kila kitu kinaweza kutokea wakati wowote ule, hivyo kutegemea kisitokee haikizuii kitu kutokea. Unapaswa kuifanya kazi yako sawasawa, kwa kujiandaa kwa matokeo yoyote