MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA USIKU; TAMAA YA NGONO…
“Sexual desire is the most all-consuming of desires. This desire is never sated, for the more it is satisfied, the more it grows.” – Leo Tolstoy Tamaa ya ngono ndiyo tamaa yenye madhara makubwa sana. Ni tamaa inayochukua nguvu zako nyingi. Na ni tamaa ambayo haitosheki, kadiri unavyoitimiza, ndivyo inavyozidi