MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1866; Aina Mbili Za Kuleta Mabadiliko Kwa Wengine…
Unapopanga kuingia kwenye biashara mpya au kukuza zaidi biashara unayofanya sasa, lazima kuna mabadiliko unapaswa kuyafanya kwa ajili ya wengine. Sasa kuna aina mbili za mabadiliko unayoweza kufanya. Aina ya kwanza ni kubadili namba ambavyo watu wamekuwa wanapata kile ambacho wanakitaka. Hapa hubadili wanachotaka, bali unabadili namna wanavyokipata. Unaweza kukiboresha