MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1867; Ana Laki Moja Kwa Ajili Yako…
Sababu kubwa inayopelekea watu kuahirisha mambo ni kwa sababu hawana uhakika wa matokeo wanayokwenda kupata. Pata picha unahitaji kuwatembelea wateja kuwaeleza kuhusu bidhaa au huduma yako, lakini huna uhakika kama watakubali na kununua au la. Unapoongea na wateja wachache na wakakuambia hapana, ni rahisi kuahirisha, kujiambia utaendelea siku nyingine na