MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1868; Farasi Wa Kuchonga…
Farasi wa kuchonga anaweza kuwafurahisha watu kwa jinsi alivyochongwa vizuri, lakini kama unataka kwenda mahali na farasi, basi unahitaji farasi aliye hai, haijalishi anafurahisha watu au la. Kwenye maisha, kuna vitu vinatufurahisha, lakini haviwezi kutupeleka popote, tunafurahia kuviona, tunafurahia kuvifanya, tunafurahia kuvifuatilia na kuvizungumzia, lakini haviwezi kutupeleka popote. Kuanzia sasa