MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1869; Maamuzi Yoyote Ni Bora…
Maamuzi yoyote, yawe mazuri au mabaya, ni bora kuliko kutokufanya maamuzi kabisa. Usipofanya maamuzi, unabaki umekwama na hakuna matokeo yoyote unayopata. Unapofanya maamuzi na yakawa siyo sahihi, unakuwa umejifunza kipi sahihi na kipi siyo sahihi kufanya. Hilo litakunufaisha kwa sababu utaweza kufanya maamuzi bora. Ukifanya maamuzi na yakawa sahihi utapata