MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1871; Sifa Kuu Mbili Za Waliofikia Utambuzi Wa Juu…
Kuna kujitambua kwa kawaida (self-awareness), hapa ni pale unapojua madhaifu yako, uimara wako na kuweza kujiangalia wewe mwenyewe kama unavyoweza kumwangalia mtu mwingine. Unapofikia kujitambua huku, ni rahisi kuona makosa unayoyafanya na kuwa bora zaidi. Halafu kuna kujitambua kwa hali ya juu (self-actualization), hapa ni pale unapoenda juu zaidi ya