MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1873; Mambo Matatu Magumu Kufanya, Lakini Yenye Thamani Kubwa…
Vitu rahisi kufanya havina thamani kubwa, hata kama vinatumia nguvu kubwa. Vitu vyenye thamani kubwa ni vile ambavyo ni vigumu kufanya. Chukulia kazi mbili, upasuaji wa ubongo na ubebaji wa mizigo sokoni. Ni kazi ipo inatumia nguvu nyingi kufanya? Jibu liko wazi, ni kubeba mizigo sokoni. Lakini ni ipi ngumu