MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1875; Ni Kipi Unachoweza Kufanya…
Kuna mambo mengi hayaendi sawa duniani, nchini, kwenye jamii, kwenye kazi na hata kwenye familia yako. Mengi kati ya hayo yapo kabisa nje ya uwezo wako, hakuna namna unaweza kuyaathiri moja kwa moja. Na hivyo unabaki ukilalamika kuhusu mambo yanavyokwenda, ambapo siyo sawa. Kitu unachopaswa kujua ni kwamba, kulalamika hakujawahi