MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1877; Ni Vitu Vinavyotoka, Siyo Vinavyoingia…
Biashara inafanikiwa kwa vitu vinavyotoka na siyo vinavyoingia. Kwa maneno mengine biashara inafanikiwa kwa fedha inayoingia na siyo inayotoka. Au kama bado hujaelewa vizuri, biashara inafanikiwa kwa kile inachouza na siyo inachonunua. Huu ni msingi muhimu sana wa kuelewa na kukumbuka, kwa sababu wengi wamekuwa wanausahau na ndiyo chanzo cha