MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1881; Kumbuka Mambo Yangeweza Kuwa Mabaya Zaidi…
Kwa jambo lolote baya unalokutana nalo au linalotokea kwenye maisha yako, kumbuka kwamba mambo yangeweza kuwa mabaya zaidi ya yalivyo sasa. Kwa kujikumbusha hili, hutalaumu, badala yake utashukuru na hilo kitakuwezesha kutoka ulipokwama sasa. Unaumwa? Hebu fikiria wale ambao wapo hoi kuliko wewe, au ambao wamefariki dunia. Unaweza kuona kuumwa