MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA ASUBUHI; TATIZO LA KUWADANGANYA WENGINE…
“We lie to other people so often that we get used to it, and we start to lie to ourselves.” —FRANÇOIS DE LA ROCHEFOUCAULD Kuna kichekesho kwamba mtu mmoja alienda kisimani kiteka maji, akakuta kuna foleni ndefu. Akajiuliza nitawezaje kuchota maji kwa haraka na kuondoka? Akapata wazo, atumie uongo. Basi