MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1883; Hupangi Kuwa Kawaida…
Hakuna anayepanga kuwa kawaida, bali wengi wanaishia kuwa kawaida kwa kutokupanga. Kama huna mpango wa nani unataka kuwa, unaishia kuwa wa kawaida, utakuwaje kitu ambacho hukijui. Kama huna mpango wa nini unataka kupata, unaishia kupata vitu vya kawaida, utapataje kitu ambacho hukijui. Kama hupangi vitu vya tofauti, maana yake uko