MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA USIKU; KWA NINI UAMBIWE? JARIBU MWENYEWE…
Wakati unaweka mipango yako mikubwa ya fedha, kuna watu watakukatisha tamaa, wengine watakubeza. Watakuambia ya nini ujisumbue na utajiri, wakati fedha hainunui furaha, huku wakikuonesha matajiri ambao hawana furaha au hawafurahii maisha yao. Sasa iko hivi rafiki, iwe unaambiwa na wengine au unajiambia mwenyewe kwamba utajiri hauleti furaha, kwa nini