MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1885; Angalia Maisha Yao Kwa Ujumla, Siyo Eneo Moja…
Tunapoona wengine wamepiga hatua kuliko sisi kwenye baadhi ya maeneo, huwa tunawaonea wivu, huwa tunatamani na sisi tungekuwa tumepiga hatua ambazo wao wamepiga. Tunafika hatua ya kutamani tungekuwa wao, na kuona sisi hakuna kikubwa tunachofanya. Labda ni mtu mliyesoma pamoja, na labda ufaulu wako ulikuwa mkubwa kuliko wewe. Lakini yeye