MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1887; Fanya Kilicho Kigumu…
Kuna mstari kwenye biblia unaosema njia ya kuelekea kwenye uzima ni nyembembe, yenye miba na ngumu kupita. Lakini njia ya kuelekea jehanamu ni pana, iliyorembwa na rahisi kupita. Mstari huu umebeba ukweli kuhusu maisha, ukweli ambao ukiujua, utakuwa na maisha bora sana. Kwamba kile ambacho ni muhimu kwako kufanya, ambacho