MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1888; Usipende Kuonesha Upo Sahihi Mara Zote…
Kuna wakati unahitaji kukaa kimya hata kama upo sahihi na kuacha upande usio sahihi kuendelea na mambo yao. Hii siyo kukubaliana na upande huo, bali kuepuka vita ambayo ushindi wake hautakuongezea chochote. Kuna wakati unahitaji kuwaacha wale ambao hawapo sahihi wajifunze kwa makosa yao wenyewe, kwa kuumia na siyo wewe